BIASHARA/MIRADI
Mwezeshaji: Pr
Lupakisyo M.Mwakasweswe
JE UNAMFAHAMU WALT DISNEY?
Walt Disney: Walt alifukuzwa kutoka jiji la Kansas ambako alikuwa
anashughulika na uandishi wa habari
ambako alionekana kuwa ni mtu asiyefanya mambo kwa haraka, alionekana
mlegevu asiye mbunifu kama mtoto mdogo .
Kwa sasa ni mtu maarufu, mtengenezaji wa picha zinazotembea (motion
picture ) katika ulimwengu wote amepokea tuzo
kuu sana zinazo mpatia heshima kubwa sana duniani.
UTAMJUAJE MTU MWENYE KUTAKA MAFANIKIO KATIKA BIASHARA/MRADI WAKE?
Majibu
ya swali kama yalivyo jibiwa na
washiriki wa semina ya Uwakili na Ujasiliamali
katika
Kanisa la Wa adventista wa Sabato Ngongongare - Arusha Tarehe 1/4/2014
1. Anaweka
malengo katika biashara yake na
namna ya kuyafikia malengo.
2. Anajuhudi
katika biashara yake hapotezi muda
anawajibika kikamikifu.
3. Anaongeza
juhudi na kutumia fedha yake vizuri kwanza
Mungu.
4. Anapokea ushauri
kutoka kwa watu wengine wenye mafanikio.
5. Anatumia
kauli nzuri ya kuvutia wateja wake.
(Ana uso wenye tabasamu).
6. Anatumia
akili ya kujua ni wapi ataweza kufanikiwa
tena.
7. Anakuwa
mtu wa maombi biashara yake.
8. Anakuwa
mdadisi kwa wengine
9. Anaamka
Asubuhi na mapema kazini.
10. Anamshukuru
Mungu kwa kidogo apatacho na kukiendeleza hakatishwi
tamaa.
11. Ni
mtu mwenye kuthubutu kufanya mambo.
12. Mjasiri
na mwenye kujiamini kwakile
anachofanya.
13. Mvumilivu
14. Mbunifu.
15. Ni
mtu anaekubali kushauriwa
16. Mkweli
17. Akipata
wazo hulifanyia kazi mara moja.
18. Hukubali
ushauri kwa watu waliofanikiwa.
19. Hubadilika
kulingana na hali ya uchumi.
20. Baada
ya mafanikio hubuni biashara nyingine ili
kuongeza kipato.
21. Huwa
nakini katika mahesabu ya kazi ili
kujua faida na hasara.
22. Atajali
anachokifanya.
23. Atambue
faida na hasara katika mazingira yaliyomzunguka.
24. Atahitaji Elimu ya
ziada ili kufanikisha kazi yake.
25. Atakua na ratiba
ya kazi yake atatunza .
26. Atakua
mbunifu kutokana na mazingira.
27. Atalinda
mtaji.
28. Atajali
masharti ya biashara.
29. Awe
anafahamu mahitaji ya jamii
iliyomzunguka.
30. Awe
tayari kujifunza/ kutafiti toka kwa
wenzake.
31. Awe
na uaminifu katika shughuli zake
baina yake na Mungu pamoja wateja wake.
32. Asiwe
na muda mwafaka katika kuanza
biashara yake na wala muda huo usiwe wa kubadilikabadilika.
33. Awe
na bidhaa inayokubalika katika jamii
yake.
34. Awe
mwaminifu katika kulipa kodi (TRA).
35. Awe msafi
binafsi na mazingira yake yaliyomzunguka.
36. Awe
na Elimu juu ya shughuli anayotaka
kuanza.
37. a)
Usiogope kuanza (kuwekeza
38. Udadisi/ kutafuta elimu.
39. Ana
fikra chanya.
40. kujijali / na kujali watu
41. Mtendaji
sio maneno
42. Mwaminifu asiwe mdanganyifu.
NYONGEZA
YA MWEZESHAJI
1. Hawapendi
hasara kubwa
2. Hupenda
kubeba majukumu huona kwamba kila anachpata ni matkeo ya juhudi zake
3. Hupenda
kujua matoke ya nguvu zake
4. Ni
wabunifu wa kupanga mbinu mbalimbali za shughuli zao.
5. Ni
wavumilivu kwa matatizo yanayotokea
6. Ni
mtu wa vitendo kwa mambo wanayoyapanga
7. Si
watu wa kuridhika kwa kila ambacho wanapanga
MFANYA BIASHARA AU MTU MWENYE MRADI
ANAYEFANIKIWA;
1. Anaanza
biashara yeyemwenyewe – haajiri mtu kwanza
2. Hupenda
watu maana ndiyo wateja wake
3. Ni
watu wanaojua kuongoza
4. Hupenda
kuna shughuli aliyo ianzisha imekwisha
5. Hufanya
kazi kwa malengo
6. Huwa
na mipango
7. Wanamaamuzi
ya haraka lakini ya busara
8. Hupenda
kijitegemea
9. Huwa
hawajui iwapo biashara zao zitafanikiwa wanapenda kuwajibika
10. Wana
mawasiliano mazuri na wenzao/wateja
11. Hupenda
kubadilika na wanajiamini.



.jpg)
5 comments:
thank you Pastor kwa kutuelimisha...ubaikiwe sana.
Bigup Mkuu!
Asante sana mkuu.
Wengi wetu tunakata tamaa haraka, tukijaribisha tunataka matokeo mema ya haraka,tunaridhika na ujuzi kudogo wa kazi.
Ukiwa umefanya kazi maisha yako yote kujenga familia na urithi, huwezi kuruhusu kivuli cha mtu wa tatu kiiharibu katika miezi michache tu. Niligundua kuwa mabadiliko ya ghafla ya tabia ya mume wangu yalikuwa kuingiliwa kiroho, si tu mgogoro wa katikati ya maisha.
Niliwasiliana na Mystic Kakaa kwa ajili ya uingiliaji kati wa kibinafsi. Kazi yake ilikuwa ya upasuaji. Alitambua kivuli na kukiondoa kabisa bila drama yoyote ya umma. Ndani ya siku 5, umakini wa mume wangu ulirudi nyumbani kwetu na katika mustakabali wetu. Ikiwa unalinda maisha yenye thamani kubwa na unahitaji bwana anayeelewa busara, wasiliana naye kwa: dawnacuna314@gmail.com
WhatsApp: +2349046229159
Yeye ndiye kiwango cha dhahabu.
Kwa uchawi wa upatanisho wa uhusiano/ndoa.
Uchawi wa kumfanya mpenzi wako wa zamani/mwenzi wako aombe msamaha.
Uchawi wa kumrudisha mpenzi wako/kumvutia mpenzi mpya.
Uchawi wa kurejesha mali/pesa zilizoibiwa.
Mabadiliko ya umbo/Uchawi wa kutoweka.
Uchawi wa kushinda bahati nasibu/kesi ya mahakama. Na zaidi
Nataka kutoa ushuhuda kuhusu jinsi nilivyopona kutokana na Virusi vya Herpes. Miezi michache iliyopita nilikuwa na dalili kadhaa. Nilienda kumuona daktari na vipimo vingi vya damu vilifanywa kwangu, baadaye niliambiwa nilikuwa na Herpes. Daktari wangu aliniambia kwamba hakuna tiba ya Herpes. Nilijisikia vibaya, niliingia mtandaoni nikitafuta tiba inayowezekana ya Virusi vya Herpes, niliona chapisho la Dkt. Dawn, daktari wa mitishamba anayewasaidia watu kupona kutokana na Herpes. Saratani. VVU na mengineyo. Niliwasiliana naye na kumwambia jinsi ninavyohisi. Alisema dawa yake ya mitishamba inaweza kuniponya. Alinitumia dawa kupitia huduma ya utoaji wa UPS na nilipokea dawa siku 6 baada ya kuituma, nilichukua dawa kama alivyoniagiza. Kabla sijakamilisha dawa dalili zilisimama. Nilienda kwa daktari na kufanya kipimo kingine cha damu, cha kushangaza nilikuwa hasi. Sijapata dalili tena. Dkt. Dawn ni mzuri na unaweza
kuwasiliana kwenye WhatsApp: +2349046229159
Gmail ( dawnacuna314@gmail.com )
Ikiwa unahitaji dawa za mitishamba kutibu magonjwa yoyote sugu au ya zinaa kama.
HERPES.
SARATANI.
VVU/UKIMWI na zaidi
Post a Comment